Sababu ya msichana kutiwa pilipili sehemu za siri na wazazi wake

Kufuatia tukio la msichana mwenye umri wa miaka 16 Mkaazi wa Kizimkazi kufanyiwa  kitendo cha kinyama na wazazi wake wanao mlea wakiwemo mamazake wadogo na bibi yake mzaliwa wa baba kwakumvua nguo zote na kumrandisha mtaani pamoja na kumtia pilipili na chumvi sehemu zake za siri, mtandao wa Zanzibar24 umefanikiwa kujua sababu iliyowapelekea wazazi hao ni kwa madai ya kwamba msichana huyo  ameenda kulala kwa mwanaume ndipo walipoamua kumfanyia kitendo hicho cha kinyama.
Waliofanya tukio hilo wanashikiliwa kwa hatua zaidi za kisheria


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo