Aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu amejibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kuhusu matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa waziri wa Maliasili na utalii
Tuhuma hizo zimetolewa bungeni leo na waziri wa sasa wa maliasili na Utalii Dkt Hamis Kigwangala ambapo Nyalandu kupitia ukurasa wake wa facebook ameandia haya:-