
1.Umma unaarifiwa kuwa baada ya tamko la jana Serikali haijatoa tamko lolote tena.Uzushi unaosambazwa mitandaoni leo Jumapili ni wa kupuuzwa— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) August 20, 2017
2.Taarifa inayosambazwa ni ya uongo kwa kuwa hata Dkt. Abbas anayetajwa kusaini bado yuko likizo ya kufiwa. Hatua kali zitachukuliwa.— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) August 20, 2017