Kupitia Ukurasa wa Twitter wa Chadema umeripoti kuhusu Mbunge Ester Bulaya wa Bunda Mjini anayeshikiliwa na jeshi la polisi, hali yake sio nzuri baada ya kuzimia, na yupo katika hospitali ya Tarime kwa matibabu zaidi kama picha zinavyoonesha
Mhe. @Esteramosbulaya amezimia akiwa kituo cha polisi hali iliyopelekea kukimbizwa haraka hospitali kwa matibabu zaidi. pic.twitter.com/CGWpqqGHpa— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) August 20, 2017

