skip to main |
skip to sidebar
Uteuzi mwingine tena Ndani ya ACT Wazalendo
Chama Cha ACT- Wazalendo kimemtangaza rasmi Mwanasheria Albert Msando kuwa mrithi wa Nafasi ya Mshauri Mkuu wa Chama hicho iliyoachwa awazi na Prof Kitila Mkumbo aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji
Kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Doroth Semu, Utuezi huo umeanza Mara tangu Mei 8, 2017.
Kabla ya uteuzi huo ndani ya Chama hcho Msando alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi