Kwenye ukurasa wa Facebook unaotumia jina la Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete umeandika taarifa ya kuwa Rais mstaafu anatoa mikopo kwa haraka kupitia Vikoba.
Naibu katibu wa Rais huyo Mstaafu amekanusha taarifa hizo akidai zina nia ya kupotosha jamii.
Soma Taarifa kamili:
