Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya
ya Makete limeagiza kurudishwa haraka dereva wa gari la kubebea wagonjwa
maarufu kama ambulance la kituo cha afya Ipelele
Baraza hilo limeagiza hadi kufikia Januari 27 dereva huyo aliyeondolewa katika kitu
chake cha kazi kufuatia upungufu wa madereva katika halmashauri anaripoti
kituoni hapo na aendelee na kazi
Maagizo hayo yanafuatia maagizo ya baraza
liilopita kupewa taarifa kuwa gari hilo
halifanyi kazi na mrejesho uliotolewa katika baraza hilo unaonekana
kutomridhhisha diwani wa kata hiyo Mh Mwipelele Mbogela
Sikiliza Sauti Hizi hapa chini:-