Kifaru asababisha Waziri Mkuu kutoa Maamuzi Mazito Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea na ziara yake Arusha, leo December 6 2016 amekutana na watumishi wa hifadhi ya Ngorongro, wajumbe wa baraza la wafugaji pamoja na wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi wakati ziara yake wilayani Ngorongoro.
Baada ya kupokea taarifa za kutatanisha kuhusu kifaru anayefahamika kwa jina la Johnaliyedaiwa kuondoshwa hifadhini hapo na kupelekwa katika eneo la akiba la Gurmet, Waziri mkuu Kasimu Majaliwa aliwapa muda wa siku mbili watumishi wa Mamlaka ya Ngorongoro kutoa maelezo mahali alipo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo