Ushindi tena, Ester Bulaya Amchapa Wassira Mahakamani

Ester Bulaya akiwa na Wakili wake Tundu Lissu
 
Habari iliyoifika kutokea Bunda inasema Mbunge wa zamani Steven Wassira ameshindwa tena kwenye Rufaa yake na Ester Bulaya Mbunge wa Bunda.

Taarifa kutokea Bunda: Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili, iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho, Steven Wassira.., kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa inasikilizwa mjini Musoma, Mara.

Chanzo: JF


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo