Mamba hatari auawa huko Mwanza, Amekula watu wengi

Wanachi wa Kamanga Ng'ambo nje kidogo ya mji wa Mwanza jana walifanikiwa kumuua yule Mamba aliyekua anasumbua Watu na Abari katika eneo hilo.

Mamba huyo yasemekana ivi siku za karibuni aliwala Watu 3 Watoto 2 na Mvuvi mmoja mpaka kupelekea wananchi wa Kamanga kupeleka malalamiko yao kwa wahusika wa wanyama pori.

Habari kamili ni kwamba jana mida ya saa 9 jion ndio Mamba huyo alipopatwa na kupigwa risasi na askali wa wanyama poli.
Image result for mamba auawa mwanza


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo