Baadhi
ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa
mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha
zilizonunuliwa kwa kodi zao.
Kaimu
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo
ni la kawaida na halina uhusiano na jambo lolote.(Picha na Nathaniel
Limu).
Baadhi
ya askari polisi mkoa wa Singida wakiwa kwenye paredi muda mfupi kabla
hawajaanza kuonyesha silaha zao kwa wakazi wa mji wa Singida.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi