Jamaa mmoja kutoka Bariloche Argentina hatowahi tena kujaribu kunyemelea mke wa jirani.
Hii ni baada ya kufumaniwa peupe akiwa anafanya mapenzi na mke wa wenyewe.
Jamaa huyo alifukuzwa akiwa uchi wa kuzaliwa baada ya kufumaniwa .
Mume aliyeibiwa mke alimrikodi kwa video ambayo baadae aliifikisha kwenye mitandao ya kijamii na kumuabisha jamaa huyo.
Tazama picha ushuhudie aibu yenyewe,nakuambia tena mke wa mtu sumu