skip to main |
skip to sidebar
Serikali Yaifungia Shule ya Al Muntazir
Serikali imeifungia kuandikisha wanafunzi kwa vidato vya kwanza na tano
shule ya Al Muntazir iliyopo jijini Dar es salaam kwa kupandisha ada
kinyume cha taratibu na Wizara ya elimu.
Pia shule hiyo imetuhumiwa kuwatoza faini wazazi wanaochelewa kulipa ada.
Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa mwaka huu serikali serikali ilipiga marufuku
shule binafsi kupandisha ada kiholela na ikiwa shule inataka kufanya
hivo ilitakiwa kuomba kibali kwa kamishna wa elimu.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi