JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA
MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA
![]() |
|
Simu:255-22-2114615,
211906-12
Baruapepe: nje@nje.go.tz
Baruapepe: gcu@nje.go.tz
Tovuti :www.foreign.go.tz
Nukushi: 255-22-2116600 |
|
20 KIVUKONI FRONT,
P.O. BOX 9000,
11466 DAR ES SALAAM,
Tanzania.
|
DARAJA
LA KIMATAIFA LA RUSUMO NA KITUO CHA HUDUMA KWA PAMOJA VYAZINDULIWA RASMI
RaiswaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania Mhe. Dkt. John PombeMagufulileoAprili 6, 2016 amezinduadaraja la
kimataifa la RusumonaKituo cha HudumakwaPamojaMpakani (OSBP) cha Rusumo.
Zoezihilo la uzinduzilililofanywanaMhe.
RaisMagufuliwa Tanzania naMhe. RaisPaul Kagamewa Rwanda, limehudhuriwanaviongoziwangazizajuuwaSerikalikutokanchizotembili,
Mabalozi, naViongoziwaTaasisimbambalizaKitaifanaKimataifa.
Daraja la Kimataifa la
RusumonaKituo cha hudumakwaPamojaMpakaninikiungomuhimukatikaUkandawa Kati
(Central Corridor) unaounganishabarabarakuuya Dar es Salaam - Chalinze – Morogoro – Dodoma – Singida –
Nzega – Tinde – Isaka – LusahunganaRusumokupitiaKibingoNakayonzahadi Kigali nchini
Rwanda. Mtandaohuuwabarabarautakuwakichocheokikubwa cha ukuajiwauchumikatiya
Tanzania na Rwanda.
Akizungumzakatikasherehezauzinduziwamradihuo,Mhe.
Dkt. MagufulialiwahimizawananchikutumiafursayauwepowaDaraja la RusumonaKituo
cha hudumakwaPamojaMpakaniRusumokujileteamaendeleoyamtummojammojanaJumuiyayaAfrikaMasharikikwaujumla.
AidhaRaisMagufuliamewaasawananchikulindamiundombinudhidiyaweziwanaodirikikuibaalamazabarabarani,
vyumavyamadarajanakuhaributaazabarabaranikwabaadhiyamiji. Ameagizavyombovyausalamakuhakikishawanalindamiundombinuhiyonakuwachukuliahatuazakisheria
wale wotewatakaokamatwawakifanyauharibifuhuo.
Aidhalichayamradihuokurahisishausafairishajiwabidhaanawatukwaupande
wake Waziriwa Mambo yaNje, UshirikianowaAfrikaMashariki, KikandanaKimataifa,
Mhe. Dkt. Augustine Mahigaalielezafaidakadhaazamradihuozikiwemo;
kuwanikiungomuhimu cha JumuiyayaAfrikaMasharikinaJumuiyanyinginezaKikandakama
vile SADC na COMESA,
kurahisishamawasilianoyakijamiibainayawatuwa Tanzania na Rwanda,
pamojanakuimarishauhusianonakukuzabiasharakatiyanchihizimbilinanyinginezaMaziwaMakuu.
UjenziwaDaraja la
Kimataifa la RusumonaKituo cha hudumaPamojaMpakaniRusumonimojayamiradiinayotekelezwakwamsaadakutokaSerikaliya
Japan kwanchiza Tanzania na Rwanda kupitiashirika lake la maendeleo la JICA.
Mradihuukwaupandewa Tanzania umegharimutakribanikiasi cha TShs.33,206,508,072.07
hadikukamilika. MiradimingineinayotekelezwakwakushirikiananaSerikaliya
Japan kupitia JICA nipamojanaujenziwaBarabarayaArusha – Namanga, Iringa –
Dodoma, Namtumbo – Kilimasera – Matemanga – TundurupamojanabarabarayaMasasi -
Mangaka.
Mwisho.
Imetolewana;
Kitengo
cha MawasilianoyaSerikali,
Wizaraya
Mambo yaNje, UshirikianowaAfrikaMashariki, KikandanaKimataifa, Dar es Salaam
06
Aprili, 2016

