Wimbi la hamahama kwenye vyama vya siasa limeendelea hapa nchini ambapo hii leo katika ukurasa wa face booka wa chama cha mapinduzi CCM nimekutana na picha zikionesha rundo la vijana wa CHADEMA wakikihama chama hicho na kujiunga na CCM
Kilichoandikwa kwenye Ukurasa huo ni hiki hapa chini:-
Mchana huu, kijana Jackson Musa ,Katibu Mwenezi Chadema-Bukombe ameongoza wenzake 507 kuhamia CCM. #HapaKaziTu