Picha hizi za mastaa wa kike waliotoka kimahaba na D'banj ni Noma

Nyota wa muziki nchini Nigeria Dbanj ambaye siku za nyuma alikuwa anahusishwa na taarifa za kuwa na wapenzi wengi ambao pia walikuwa hawajulikani hivi karibuni imetolewa listi ya wanawake wote ambao waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na nyota huyo.

Lakini Jambo moja pekee kwa wanawake ambao waliwahi kuwa wapenzi wa D’banj ni kwamba wana mafanikio makubwa kutokana na shughuli zao au ni watoto wa matajiri.


Hawa ndiyo wanawake ambao wametajwa kuwa walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na nyota huyo wa muziki:
Nadia Buari huyu ni muigizaji wa filamu kutoka Ghana
Adama Indimi huyu ni mtoto wa bilionea mmoja kutoka Nigeria
Jennifer Obayuwana huyu ni mtoto wa milionea anayeitwa John Obayuwana.Genevieve Nnaji huyu ni muigizaji wa filamu kutoka nchini Nigeria
Bonang Matheba huyu ni mtangazaji wa Tv na Radio kutoka nchini Afrika  Kusini


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo