Mume amchoma kisu mkewe na yeye kujichoma, Kisa mgawanyo wa mali huko Bagamoyo


Mauaji ya kutisha yametokea Wilaya ya Bagamoyo siku ya jana. Chanzo cha mauaji haya ni kuhusu talaka na mgawanyo wa mali.

Baada ya kwenda BAKWATA kusuruhishwa Mwanamke (Mwenyendoa) alitaka mali zote aandikiwe yeye na sio watoto kama ilivyokuwa.Mwanaume (Mwenyendoa) alichomoa kisu alichokuwa amekificha kiunoni na kumchoma mkewe na yeye kujichoma kisu cha tumboni na kujiwekea mchanga kwenye utumbo uliokuwa umetoka nje ili asiweze kupona kabisa.

Picha zinatisha ila naweka hiyo moja yenye maadili.


chanzo:jamii forums


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo