Huu ndio uthibitisho mwingine wa Godwin Gondwe kugombea Ubunge Mwanza

October 25 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania watachagua Rais, Wabunge na Madiwani.. sababu hiyo pekeyake inatosha kutufanya tusikwepe kabisa kukutana na stori za kisiasa Tanzania !!
Idadi ya Wanahabari waliotangaza Kugombea Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali Tanzania imezidi kuongezeka, tumesikia kuhusu wengi ikiwemo mmoja ya Wanahabari wakongwe Tanzania, Godwin Gondwe ambaye ametangaza kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela Mwanza.
Godwin Gondwe anagombea Jimbo hilo na Sera yake ni hii >>>> ‘MABADILIKO NI SASA, KURA YAKO INA THAMANI KWA MAENDELEO YA ILEMELA
Hapa ninayo picha inayothibitisha kwamba tayari Godwin Gondwe amechukua fomu ya Kugombea Ubunge wa Jimbo hilo Mwanza.unnamed (1)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo