Hizi ndio sababu za CUF kutoshiriki Mkutano wa UKAWA Dar es Salaam

Magazeti ya leo July 15 2015 yana headlines pia kuhusu stori ya UKAWA kuamua kwamba watamtangaza Mgombea wao ndani ya wiki moja kuanzia sasa.. Ukurasa wa @Twitter wa Gazeti la MWANANCHI wameandika pia mwendelezo wa hiyo stori kuhusu ishu ya Viongozi wa CUF kutoshiriki kwenye Mkutano wa UKAWA jana.
Tweet1 >>>> “Mkutano wa  na waandishi umeanza hivi sasa katika Makao Makuu ya  kuelezea kinachoendelea ndani ya 
Tweet2 >>>> “: CUF hatukuweza kushiriki katika kikao cha jana kutokana na sababu za kikatiba ndani ya chama 
Tweet3 >>>> “: Maamuzi magumu ya chama huamuliwa na vikao vya maamuzi ndani ya chama, tunaendelea na vikao vya ndani ili kuwa na maamuzi ya pamoja
Tweet4 >>>> “: Hatujasusia au kujitoa , hizo taarifa ni za uzushi na uongo, tumeona tuweke mambo ya chama vizuri ili tuende tukiwa wamoja
MWANAMWANANCHI


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo