skip to main |
skip to sidebar
PICHA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma Januari
27, 2015.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiapa Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George
Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini
Dodoma Januari 27, 2015.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi