WAKENYA WAWILI WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA, NI WALE WALIPORA FEDHA BENKI YA NMB TAWI LA MWANGA.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuVldToHUrsxeNB6OePEdyAUD7c9mue4BGwlMWbptS0vgk-c5lZUx9W_rjL98mdNru5dtHidLX3_w6fyHvGm-j9HEmlWKOOJcIUsIEVKJZFfntRBIWwXIU_IrzHz93P_shzhYH8c-fpdMW/s1600/moshi-1.jpgNa Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

MAHAKAMA kuu kanda ya Moshi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa wawili raia wa Kenya katika kesi ya mauaji ya askari Polisi, Pc Michael Milanzi, wakati wa tukio la uporaji  wa fedha katika benki ya NMB tawi la Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Mbali na hukumu hiyo iliyosomwa na Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu, Kakusulo Sambo kwa zaidi ya saa, nne,Mshatakiwa wa tatu katika kesi hiyo ,Karisti Kanje(Mtanzania) yeye amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano(5) jela kwa kosa la kuhifadhi na kutorosha watuhumiwa wa mauaji ya askari polisi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo