VIDEO: FLORA MBASHA AELEZEA JINSI ALIVYOTISHIWA KUCHINJWA NA MUMEWE


Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha amefunguka kuhusu kisa cha yeye kumkimbia mumewe, Emmanuel Mbasha ikiwemo kutishiwa kuuawa. 

Emmanuel anadaiwa kutishia kumuua Flora baada ya tuhuma za kumbaka shemeji yake wa miaka 17!

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo