MBUNGE SALVATORY MACHEMLI AZUNGUMZIA KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZILIZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO ZENYE SURA YAKE


Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi na wapenzi na zaidi ni namna  picha hizo  zilivyotoka  maana zingine zilikua ni zaidi ya nusu utupu.
 
Salvatory Naluyaga Machemli mbunge wa Ukerewe kupitia Chadema ni miongoni mwa wabunge waliotajwa kuwepo kwenye orodha hiyo na ni baada ya kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa na binti wakiwa zaidi ya nusu utupu,Soudy brown akaongea naye.Majibu na kila kitu  kilichozungumzwa kipo hapo  chini.
CHANZO:MPEKUZI

Bonyeza play kusikiliza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo