KESI YA MADIWANI WA CHADEMA ARUSHA YAWALEMEA, SHITAKA LINGINE LAONGEZWA

Baada ya NAIBU meya wa Arusha diwani wa kata ya Daraja Mbili CHADEMA na Ephata Nanyaro diwani Wa Levolosi CHADEMA kumpiga mgambo wa jiji na kumdhalilisha vibaya huyo mwanamke sasa wamanza kuhaha kumlaumu kila wanaye mwona
Nanyaro ameenda kwa ndugu na Wazazi wahuyo binti kuwaomba imeshindikana amewatafuta wazee kwenda kumwombea pia nalo limeshindikana baada ya kufikishwa mahakamani pamoja na kutangaza mitandaoni na Arusha yote waliyo hudhuria mahakamani hawadiki 30 diwani huyo na naibu wake baada ya kuona mambo yamezidi kuwa mabaya wamemwangukia diwani wa sokoni one Wa TLP na sakeyani Terati CCM na Tojo Kata ya Kati wakawaombeee.msamaha pamoja na jitihada zote hizo bado umeshinsikana
Baada ya mhusika na familia yao kukataa

Baada ya nanyaro kuona kesi hiyo siyo utani amekuwa akitapatapa kila kukicha Mara mgambo Wa jiji ni Grean gard Mara mkuu wa wilaya amehujumu pesa za masoko Mara mkuu Wa Mkoa ameacha kuiandama CHADEMA sasa kamwachi mkuu wa wilaya Mara mkuu wa wilaya wananchi wasimpe ushirikiano Mara CHADEMA inatangaza akipita popote mkuu wa wilaya azomewe


Arusha ya 2010-2012 siyo hii ya sasa nanyaro na msofe hizo ngonjera ziimbeni mkimaliza

zote mahakama inakuhusu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo