GARI LAACHA NJIA NA KUPINDUKA BARABARA YA KILWA JIJINI DAR

Gari lilivyokosea njia na kuingia mtaroni.
Polisi wa usalama barabarani wakishughulika eneo la ajali.Mashuhuda wakiangalia tukio hilo.

GARI dogo lililopata ajali jana lilinaswa na mtandao huu baada ya kupinduka katika Barabara ya Kilwa eneo la Ufundi, jijini Dar es Salaam ambako dereva wake (jina halikujulikana) alinusurika isipokuwa abiria wake (ambaye naye jina halikujulikana) alipata majeraha kidogo.

 (Picha/Habari na Haruni Sanchawa/GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo