skip to main |
skip to sidebar
MHUBIRI WA KIISLAM AUAWA KIKATILI.
Mhubiri aliyedaiwa kueneza itikadi kali za kiisilamu nchini Kenya
Abubakar Shariff anayejulikana kwa jina lIngine kama Makaburi, ameuawa.
Duru zinasema kuwa Makaburi aliuawa katika mtaa wa Shanzu mjini Mombasa ambako alikuwa anaishi.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi