Watu wamekuwa wakizusha eti wema sepetu aligombana na kajala. Na reason behind ilikuwa mara tu
baada ya kajala kupost picha ya mtoto wa victoria kimani. Na hiki
ndicho kilichopostiwa na wema sepetu kupitia twitter. Na kurepostiwa na
wema daily kupitia mtandao wa instagram
