RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI KATORO MKOANI GEITA

D92A0053Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji Bibi Asha Ahmadi kutoka katika kijiji cha Shinyanga A wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa maji wa Nyakafuru ulofanyika katika kijiji cha Shinyanga A,Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita.
D92A0614Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto Pascal John aliyelazwa katika kituo cha afya Iboya Wilayani Mbogwe wakati Rais Kikwete alipozindua Wodi ya akina mama.D92A1277Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa Umeme Katoro,Mkoani Geita (picha na Freddy Maro)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo