PICHA ZA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI MVOMERO, ZAIDI YA WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI


Huyu ni mmoja wa kijana akiingizwa katika wodi ya wanaume ya hospitali hiyo baada ya kujeruhiwa kwa risasi.
Kundi la vijana wenye mishale na upindi wakiwa tayari kwa kujibu mashambulizi dhidi ya wafugaji, hapa ni kijiji cha Mkindo.
 

 
Nesi wa Hospitali teule ya wilaya ya Mvomero Getruda Chambo kulia akishirikiana na mwenzake kumhudumia mmoja kati ya 39 aliyepigwa risasi baada ya kutokea vurugu za wakulima a wafugaji katika kata ya Hembeti wilayai humo na kusababisha vifo vya zaidi ya mtu mmoja kufariki dunia kwa kupigwa na risasi mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo