Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge na Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Mideye, Bungeni
Mjini Dodoma Novemba 1, 2013.
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola akichangia Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kushoto), Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (wapili
kulia) na
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)