NEWS ALERT: HALI YA MZEE NELSON MANDELA NI MBAYA

Wini Madikizela aliyekuwa mke wa rais mstaafu wa Afrika kusini Nelson Mandela ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa hali ya rais wa zamani wa Afrika kusini Nelson Mandela ni mbaya na hawezi kuzungumza

Taarifa hiyo inasema kuwa kwa sasa Mandela anaongea kwa kutoa ishara tu na sauti yake haitoki na kwa kiasi kikubwa anategemea mipira aliyowekewa akiwa anaendelea na matibabu nyumbani

madaktari nchini humo wameahidi kuendelea kupambana na hali hiyo ya mandela hadi sauti yake irudi kama mwanzoni

Kwa sasa Mzee Mandela anaendelea na matibabu yake akiwa nyumbani kwake nchini Afrika kusini


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo