Mwimbaji
wa nyibo za injili toka nchini Nigeria ajulikanaye kwa jina la
Maheeda amejikuta akitengwa na kanisa baada ya picha zake za
uchi kuvuja….
Taarifa zinadai kwamba kabla ya kuanza kuimba nyimbo za dini, mrembo huyo alikuwa akijihusisha na mziki wa kidunia ambao kwa tanzania unajulikana kwa jina la Bongo Fleva