LULU AWAGAWIA FEDHA WAGONJWA WA SARATANI (CANCER) OCEAN ROAD JIJINI DAR

Lulu atoa msaada wa fedha hospitali ya ocean road kwa wagonjwa wa Cancer.
Mwanadada Elizabeth Michael ama LULU leo ametembelea hospitali ya Ocean Road Iliyopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa zawadi za fedha kwa ajili ya wagonjwa wa cancer hospitalini hapo. kupitia ukurasa wake wa instagram LULU ameandika

"Naamini Mimi sio mwema sana mpk Mungu akaniwezesha kuona mwezi huu nikiwa mzima na mwenye afya...!kwa kutambua Hilo nimeanza mwezi huu kwa kupita ktk hospital ya OCEAN ROAD na kutoa mchango ili kuwasaidia wagonjwa wa CANCER...!Tuwe na utaratibu wa kuwakumbuka wahitaji kwa chochote tulichonacho! Nawatakia mwezi wenye Baraka na mafanikio!..."

Hongera sana lulu kwa moyo wako huu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo