BREAKING NEWS: AZIKWA AKIWA HAI KWA KUTUHUMIWA KUMUUA MWANAYE WA KUMZAA KIUSHIRIKINA MBEYA

HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI  KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POLISI

MOJA YA NDUGU WA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKIELEZEA KWA KIFUPI JINSI NDUGU YAKE ALIVYOZIKWA AKIWA HAI HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO MARA BAADA YA KUFUKULIWA MWILI HUO

HILI NI KABURI LA MTOTO  WA MZEE ALIYEZIKWA HAI AMBAYE INASEMEKANA BABA YAKE ALIMUUA  KIUCHAWI


HABARI KAMILI YA TUKIO HILI TUTAWALETEA KESHO

Na Mbeya yetu 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo