Shatuniha.
Jina lake rasmi halikutajwa lakini bikira yake haijawahi kutumika Habari hizo zinakuja baada ya binti mwingine miezi iliyopita toka huko huko Urusi kuuza bikira yake kwa paundi 30,000.
Binti huyo mwenye umri wa miaka 18 – anajulikana tu kama Shatuniha jina
la utani – kutangazwa kwake kwenye tovuti ya online kama mnada kumevutia
watu wengi katika jiji la Moscow na kuelezea kwamba sehenu zake za siri
hazijatumika kabisa mmmmmh wadau mpo!
Binti huyo amepanga mwanaume atakayefika dau wakutane katika hoteli ya mji wa Krasnoyarsk nchini humo.
Yeye
mapendekezo yake kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli
katika mji wa Krasnoyarsk ambapo binti huyo alitaka kulipwa paundi hizo
kabla ya kulala na mtu na si kwa bei ya chini ya paundi 18,000.
Polisi nchini Urusi wamesema hawatafanya uchunguzi wa tukio kwa sababu yeye na wanunuzi hawajavunja sheria za nchi.
‘Mimi
ni katika harakati za kutafuta fedha ya haraka, hivyo mimi nimeamua
kuweka bikira kwenye soko kwa bei kubwa ili wateja wa ngono waweze
kupata kitu kipya kabisa katika starehe ya kustareheshana,’ amesema
binti huyo kupitia tovuti hiyo,’
‘Mimi
nipo tayari kukutana na mamlaka zote kama zinataka ufafanuzi zaidi, ni
uamuzi wa kuweka biashAra hii muhimu kwenye tovuti ili wateja wafanye
tathimini,’ aliongeza
Screen shot ya mtandao aliotangaza bidhaa kunadi Ubikira wake.