UJENZI WA DARAJA LA KUVUKIA WAENDA KWA MIGUU MABATINI MWANZA WAENDELEA VIZURI

Pichani ni Kivuko cha juu cha Watembea kwa Miguu kinachojengwa eneo la Mabatini jijini Mwanza,ambacho kinaendelea na ujenzi hivi sasa.Kivuko hiki kikikamilika kitasaidia sana kupunguza ajali za mara kwa mara katika eneo hilo ambalo linamsongamano mkubwa sana wa watu. 
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo