Kwa
mujibu wa Vyanzo vya habari Duniani na katika Website mbalimbali habari
hii imekuwa ikienea kwa kasi sana,kuwa Sasa unaweza kutambua mda
utakaokufa kutokana na kifaa maalumu kinachovaliwa mkononi ama kwa lugha
Rahisi utaita Saa. Sasa hii inauwezo wa Kupiga mahesabu Tangia
ilipozaliwa mpaka masaa uliyobakiza kuishi Duniani.
Kwa kifupi Saa hii inaitwa DEATH WATCH. Imetengenezwa na mSwedish inventor Fredrik Colting. Bwana Fredrik alinukuliwa akisema "The Happiness Watch' and claims it has been designed to help people make the most of their life and cherish the time they have left".