AIBU...!! MUHUDUMU WA BAA MAARUFU POSTA jJIJINI DAR ANASWA AKIFANYA UFUSKA ENEO LA KAZI NA MTEJA...CHECK PICHA HAPA

Muhudumu wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyonya maziwa hadharani mteja wake na kuacha kazi.

Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo ambapo awali dada huyo alionekana kukolea kilaji kupita kiasi na kukosa stamala na baadaye kujikuta akifanya upuuzi huo.

 
Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya meneja wake kufika na kushuhudia tukio hilo kisha kumuamuru kuvua jezi za ofisi kisha kuondoka bila kutoa maelezo.

BONYEZA HAPA KUITAZAMA PICHA YA MUHUDUMU 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo