WAJUMBE WA NEC KUTOKA ZANZIBAR NA DAR, WAENDA DODOMA

 Wajumbe wa NEC ya CCM kutoka Zanzibar na mjini Dar es Salaam, wakiwa tayari kuondoka kwa basi la kukodi kutoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda mjini Dodoma kushiriki kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kinachoanza kesho .
 Ofisa Utawala wa CCM, Mary Nchimbi, akiwaambia abiria kuwa tayari kwa safari
 Wajumbe wa NEC na baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye gari
Wajumbe wa NEC na baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye Basi leo asubuhi. PICHA NA BASHIR NKOROMO


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo