NAIBU WAZIRI WA MAJI DKT BINILITH MAHENGE AKAGUA MRADI WA MAJI WILAYANI SIHA KILIMANJARO

 Moja ya tanki la maji (kileleni) lililopo jirani na mashamba ya ngano west Kilimanjaro wilani Siha.
 Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Siha Dk Charles Mlingwa na baadhi ya maafisa wa mamlaka za maji wa wilaya za Moshi na Siha wakipanda kwenda kutizama moja ya matanki ya maji .



Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akiteremka kilima ambako alipanda kwenda kutazama moja ya tanki la maji .Na Dixon Busagaga via michuzi blog.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo