MSIBA TENA: MSANII MR BOMBA AFARIKI DUNIA

Leo katika pita pita zangu kwenye ukurasa wa FB wa msanii wa bongo muvie Batuli, nimekutana na habari hii ya majonzi ya kuondokewa na msanii mahiri wa maigizo na bongo muvi hapa nchini, Batuli ameandika maneno haya hapa chini
 
R.I.P baba yetu Mr Bomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahala pepa peponi "Amin"
R.I.P baba yetu Mr Bomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahala pepa peponi "Amin"ama kweli haya ni majonzi kwa watanzania wote, taarifa zaidi utazidi kuzipata hapa hapa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo