Picha
za aibu zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja
ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ......
Mtandao
huu umefanikiwa kuzipata picha hizi kutoka kwa msomaji wetu
mpendwa ambaye kwa uzalendo wake ametutumia kwa njia ya email
huku akielezea kwa kifupi kuhusu sakata hilo la aibu.....
Happy kabla hajavua nguo....

