P Funk Majani
amewapa makavu watu wanaochonga kuhusu maendeleo yake hususani wale wote
ambao wanapiga majungu kuwa mkali huyo amepotezwa na vijana wadogo
kwenye industry ya mziki.
“Kuna watoto
wadogo siku hizi wanakurupuka wanajiona wao ndio wao, juzi kati nikiwa
kwenye club moja nasikia kiproducer kinachonga kuhusu mimi kenyewe kana
sijui nyimbo moja au tatu zimehit mimi nina nyimbo zaidi ya 100 ambazo
zimehit na hadi akina Mhe Mkapa enzi hizo, wametukubali we utaniambia
nini” P funk alinena.