MAUAJI YA KUTISHA RUNGWE! PICHA ZINATISHA

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZINAZOONEKANA ZA MTOTO AYUBU HAPA NI CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI TUKUYU

KUSHOTO  NI BABA MZAZI WA AYUBU AGEN MWAKALEGELA AKIWA NA NDUGU ZAKE WAKISUBIRI KUCHUKUA MWILI WA MAREHEMU AYUBU

MWILI WA ALIYETUHUMIWA KWA MAUAJI YA MTOTO AYUBU AGEN UKIWA UMECHOMWA MOTO NAWANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUMKUTA MITA CHACHE KUTOKA KWENYE MWILI WA MAREHEMU AKIWA NA KISU KINACHODHANIWA KUTUMIKA KATIKA MAUAJI
MWILI WA MTOTO AYUBU UKITOLEWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI KATIKA HOSPITALI YA MAKANDANAWILAYA YA RUNGWE
SAFARI YA KUELEKEA KIJIJI CHA IJOKA KWA MAZISHI.PICHA MBEYA YETU BLOG
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo