CHANGAMOTO ZINAZOMKABILI UHURU KENYATTA

Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta wakati huu anatazamwa kama kiongozi anayekabiliwa na changamoto kadhaa katika uundaji wa serikali yake.

Hayo yametokea baada ya hapo Jumamosi, Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kuamua kuwa yeye ndiye mshindi halali wa kiti cha urais wa taifa hilo na kulitupilia pingamizi la mpinzani wake Raila Odinga. 

Kutoka mjini Nairobi Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya, Profesa Chacha Nyaigoti Chacha, kuhusiana na matarajio ya serikali mpya ya Kenya chini ya Uhuru Kenyatta. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini. (CHANZO DW)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo