BREAKING NEWZ: MGODI WAPOROMOKA NA KUFUKIA WATU HUKO ARUSHA


Mgodi uliokuwa na wachimba migodi 14 umeporomoka katika eneo la Moshono , mjini Arusha

Hadi kufikia sasa wakati shughuli za uokozi zikiwa bado zinaendelea, maiti watatu wameweza kuondolewa kutoka kwenye mgodi huo.

Mwandishi habari aliyeshuhudia shughuli hiyo ya uokozi, Ali Shemdoe anasema kuwa pia lori mbili zimefukiwa.

Hii sio ajali ya kwanza ya mgodi kutokea Arusha, nyingine ilitokea miaka saba iliyopita na kusababisha vifo vya watu saba.

TAARIFA ZAIDI UTAZIDI KUZIPATA HAPA HAPA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo