UTABARI WA HALI YA HEWA LEO 30.03.2013

WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 30/03/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:

Hali ya mawingu, mvua na  ngurumo  katika  baadhi ya maeneo  na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Dar es salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro (kaskazini)]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Rukwa]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro kusini]:
 [Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua  na ngurumo katika  maeneo  machache na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
12:44
D'SALAAM
33°C           
12:33
DODOMA
30°C
12:47
KIGOMA           
28°C
01:11
MBEYA
27°C
12:56
MWANZA
27°C
12:58
TABORA
27°C
12:59
TANGA
32°C
12:34
ZANZIBAR
32°C           
12:33
PEMBA
                           31°C
12:29
MOROGORO
31°C
12:35

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 30 kwa saa;kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.  
                               .
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi: 30/03/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/03/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo