Askofu
Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Antony Banzi,akiongoza sala wakati wa mazishi ya Marehemu
Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyekufa kwa kupigwa risasi Jumapili
Iliyopita na kuzikwa leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya kaskazini B Unguja leo.
Askofu
wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Zanzibar Augustino Shao, akitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri
Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa
Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Vijana
waumini
wa Dini ya Kikiristo wakiteremsha jeneza lenye mwili wa marehemu Padri
Evaristus Gabriel Mushi,katika kaburi alilozikwa leo katika viwanja
vya kanisa la Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,marehemu
alifariki kwa kupigwa risasi Jumapili iliyopita na watu wasiojulikanwa.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati)
akitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini
B Unguja.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Emanuel Nchimbi ,akitia udongo
katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa
mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Vijana
waumini wa Dini ya Kikiristo wakiteremsha udongo wakati wa mazishi ya marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,katika
kaburi alilozikwa leo katika viwanja vya kanisa la Katoliki la
Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,marehemu alifariki kwa kupigwa
risasi Jumapili iliyopita na watu wasiojulikanwa.
Rais
wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Padri
Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya
ya Kaskazini B Unguja.
ASkofu
Mkuu
wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadham Policup Kadinari Pengo,kwa pamoja
na maaskofu wengine wakichomeka Msalaba katika kaburi la marehemu
Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa
Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki
Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa.PCHA ZOTE NA FATHERKIDEVU BLOG)