Msanii wa muziki wa kizazi kipya na tasnia ya filamu nchini Hussein
Ramadhani ''Sharo Milionea''alizikwa jana kijijini kwao lusanga Kilichopo
wilayani Muheza na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo
viongozi wa serikali na wasanii mbali mbali nchini.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi