Wanakwaya wakiimba nyimbo
Wageni rasmi wakisubiri Ibada ianze
Mama yake Kanumba akipungia watu waliofika msibani hapo
Hawa watoto wanaopita ndio watoto waliokuwa wakicheza movie na marehemu Kanumba enzi ya uhai wake
Hartmann akiwa na mdogo wake marehemu
Hii ndio sehemu ambayo mwili wa marehemu Kanumba unatarajiwa kuwekwa
eneza lililobeba mwili wa Marehemu limewasili.Watu wanalia kwa uchungu sana.Wengi wanagombania kuligusa
Mwili wa Marehemu Kanumba ukiwasili viwanja vya Leaders
Kwa mbele
Umati wa watu uwanjani hapo
Ibada ikiendela
Mama Salma Kikwete akitoa heshima zake za mwishoMh. Membe akitoa heshima zake za mwisho
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu,Steven Kanumba likiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam asubuhi hii. Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba asubuhi hii kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.akifuatiwa na Mkewe,Pamoja na Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete (mwenye nguo nyeupe kulia).
Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akitoa heshima za mwisho.
Ni simanzi na majonzi
Msalaba Mwekundu wakiwa stand by na pia msaada unahitajika
Watu wameisha anza kuzima na msalaba mwekundu umeanza kazi yao
Watu wengi wanazidiwa na kuzimia.Jamaa wa Red Cross
Picha na Jestina George Blog











